Tuesday, August 16, 2016

CD Pinzon 
Inakuwaje baadhi ya klabu zinapata jezi mbaya? Mtandao mmoja wa michezo, kwa utashi wake, umetoa orodha ya jezi mbaya zaidi msimu wa 2016/2017 (hazina mvuto machoni).
Jezi ya Liverpool na Tottenham HotSpur zimeingia kwenye orodha hiyo ingawa kuna baadhi ya watu wanaweza kupinga, huku wakiwapa hongera watengenezaji wa jezi hizo.
Angalia video hapo chini, Jezi ya timu ya daraja la kwanza nchini Hispania (Segunda Division), CD Pinzon inaonekana kuwa mbaya zaidi na kuongoza list hiyo.
Mtazamo wako ni upi juu ya orodha hii? 

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video