Thursday, August 18, 2016

Azam FC jana walichukua kombe la Ngao ya Jamii baada ya kuwafunga Yanga kwa penati 4-1 baada ya dakika 90 za mchezo kumalizika kwa sare ya mabao 2-2.
Imekuwa ni furaha kubwa kwa wachezaji na viongozi wa Azam kwa ujumla baada ya kufanikiwa kuchukua ubingwa huo kufuatia kuuhangaikia kwa takriban miaka minne hivi;
Himid Mao ni nahodha msaidizi wa timu hiyo ambaye ameandika ujumbe wa shukran kutokana ushindi huo wa kipekee waliopata.
Himid ameandika hivi: "Asante Mungu,
Hatimae tumeweza kushinda mechi ya ngao kwa mara ya kwanza katika historia ya timu yetu, asanteni sana wote mlio tutia moyo kwenye mchezo hata pale tulipokua nyuma kwa magoli mawili....."

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video