Monday, August 8, 2016


Taarifa mpya inayomhushu, Paul Pogba inaeleza kwamba kiungo huyo  wa Juventus na Ufaransa ameuaga mji wa New York  akijiandaa kupanda 'Mwewe' kuelekea Mjini Manchester ambako anatarajia kukamilisha usajili wake na kurejea ligi kuu ya England.
 http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2016/08/08/09/36F7E6D200000578-3729055-Paul_Pogba_has_been_given_permission_to_have_a_medical_with_Manc-a-10_1470644555217.jpgPogba anatazamiwa kupima afya Manchester United Jumatatu hii na tayari klabu hiyo ya Old Trafford imekubali kuilipa Juventus paundi milioni 89, ukijumlisha na asilimia za Wakala inafika paundi milioni 100 ambayo inakwenda kuvunja rekodi ya dunia.
Kupitia akaunti yake ya Instagram, Pogba mwenye miaka 23 ambaye anakaribia kujiunga na Man United ame-post picha yake na kuandika maneno yanayotafsiriwa 'Kwaheri New York'.
Mchezaji huyo alikuwa New York kwa mapumziko tangu zilipomalizika fainali za Uefa Euro 2016 nchini kwake Ufaransa.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video