Habari zinaeleza kuwa Mfanyabiashara maarufu na Mwanachama wa Simba SC, Mohammed Dewji, amekubali kuipa klabu hiyo fedha zitakazoisaidia kufanya usajili.
Kiasi atakachotoa MO hakijatajwa mpaka sasa, lakini anatarajia kutangaza majira ya saa nane mchana huu Ofisini kwake.
Wadadisi wa mambo wanasema MO anatarajiwa kutoa zaidi ya milioni 80.
Endelea kufuatilia mtandao huu ambao unahakikisha hupitwi na kitu huhusu ishu ya MO na Simba.
0 comments:
Post a Comment