Monday, August 8, 2016

Kocha wa Leicester Claudio Ranieri ametoa pongezi kwa timu yake na Man United kwa mchezo mzuri wa jana wa Ngao ya Jamii ambo uliisha kwa United kuibuka na ushindi wa mabao 2-1.
"Pongezi nyingi ziende kwa Manchester United, lakini pia kwa wachezaji wangu kwa kazi nzuri waliyofanya," Ranieri aliwaambia wanahabari.
"Kipindi cha pili tulicheza vizuri sana. Nidhani ingekuwa sahihi kama mikwaju ya penati ndio ingeaua mshindi kutokana na namna mchezo ulivyokwenda, lakini unapocheza na timu kubwa kama Manchester United, lolote linaweza kutokea."
"Waliujua vizuri ubora wetu katika counter-attacking na walifanya kila mbinu kuhakikisha kwamba wanatuzuia. Hatukuwa vizuri kwa asilimia 100, lakini tulionesha mtazamo chanya"

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video