Monday, August 8, 2016

Kabla ya mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Man United na Leicester City, Rio Ferdinand aliulizwa ni nani ambaye anadhani ingekuwa vigumu kwake kumkaba kati ya Zlatan Ibrahimovic au Jamie Vardy.
Ikumbukwe tu msimu uliopita Zlatan alifunga magoli 50 akiwa na PSG, huku Vardy akifunga magoli 24, akizidiwa karibu nusu ya magoli.
Ibrahimovic ana urefu wa futi 6 na inchi 5, wakati Vardy ana futi 5 na inchi 10.
Nadhani mpaka hapo jibu litakuwa rahisi tu kwamba ni nani mgumu kumkaba.
Akiongea kwenye runinga na BT Sport, Ferdinand alisema: "Ni bira nicheze na Zlatan, sababu kubwa ni kwamba, mara nyingi anapenda kuwa na mpira, hawakimbii sana mabeki na mara mara nyingi mabeki hawapendi mshambuliaji anayependa kuwatoroka mabeki.
"Lakini Vardy, anakuuliza uso kwa uso, 'je, unaweza kunilinda kwa dakika zote tisini', na ni vigumu sana kwa beki kuweza kumbaka mcheza wa aina hiyo kwa dakika zote hizo."

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video