Friday, August 19, 2016

Rais klabu ya Simba Evans Elieza Aveva hii leo amezindua Ujenzi wa mradi wa Uwanja wa Bunju kwa kuwashirikisha wanachama na mashabiki wa klabu hiyo ambao walifurika katika eneo la uwanja huo lililopo nje kidogo ya jiji la Dar es salaam.
Aveva amezindua Ujenzi wa mradi wa Uwanja wa Bunju kwa kuwataka wanachama na mashabiki wa klabu ya nchini kote, kujitoa kwa hali na mali ili kufanikisha azma waliyoikusudia.
Amesema lengo kubwa la kufanya hivyo ni kutaka kukiwezesha kikosi cha Simba kuwa na mahala maalum pa kufanyia mazoezi yake, tofauti na hivi sasa ambapo kimekua kikifanya maandalizi katika viwanja vya kukodi.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video