Monday, August 1, 2016

Nyota wa Barcelona na Argentina Leo Messi amepata kashfa kubwa baada ya modo wa Kiargentina Xoana Gonzalez kufichua siri nzito na ya muda mrefu tangu alipowahi kuwa na uhusiano na fundi huyo wa mpira.

Mwaka 2011, Xoana Gonzalez aliwahi kuzungumza juu ya uhusiano wake na Messi baada ya kukutana kwenye sherehe.

Sasa ameamua kufunguka kila kitu kilichojiri wakati wawaili walipokutana kwenye faragha yao wakati akihojiwa na Peruvian TV na kusema kwamba alipolala na Messi alihisi kama yupo na Marehemu.

Xoana Gonzalez anasema: " Ni muda kidogo umepita sasa. Kiukweli alikuwa bado kijana mdogo sana. Lakini alikuwa anafahamu alichokuwa anafanya, halikuwa jambo dogo, lilikuwa jambo muhimu sana."

"Mlinzi wake aliniambia ‘njoo umuone mtu ambaye ungependa kumfahamu’. nilikuwa na shauku kubwa ya kutaka kumwona, na nilijikuta kama nimeganda baada ya kumwona, alikuwa ni kipenzi na mfalme wangu Messi, niliganda kwa mshangao.

"Nikasema atakuwa muoga ndio maana alimtuma mlinzi wake. Na nilimsogelea nikagundua kwamba alikuwa ni mtu mwenye aibu sana."

"Tuliongea masuala ya muziki ila sikukmbuki kama aliniambia kwamba ana mpenzi au hana. Baada ya muda tuliongozana moja kwa moja mpaka sehemu alipokuwa akiishi huko Puerto Madero."

Mwenzako anapocheza kuzunguka uwanja mzima, unatarajia na wewe ufanye kama alivyokufanyia, kama vile unarejesha fadhila. Nilitaka na yeye anaionyeshe mapenzi ya kweli kuliko alivyofanya. Kwa namna moja au nyingine nilijihisi kama nilikuwa na maiti."


0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video