Pogba ni moja ya wachezaji wenye manjonjo sana linapokuja suala la kutengeneza nywele. Ameshapitia mitindo mbalimbali ikiwemo kiduku cha kupaka rangi na mingine mingi.
Hapo chini ni mtindo mpya ambao atakuja nao akiwa na klabu yake mpya ya Manchester United.
0 comments:
Post a Comment