Friday, August 12, 2016

Ligi Maarufu ya kandanda ya England sasa inarejea tena! wazee wa mikeka hapa ndio mahala pake...sasa 'ngoma inogile' kuanzia kesho Jumamosi mpaka Jumatatu.
EPL msimu huu hakika ni vita ndogo ya Dunia kwa makocha wa kiwango cha juu...tazama! Jurgen Klopp (Liverpoo), Pep Guardiola (Manchester City), Jose Mourinho (Manchester United), Arsene Wenger (Arsenal) na Antonio Conte (Chelsea)

Tazama ratiba nzima ya wiki ya kwanza ya EPL, kuanzia Agosti 13, 14 na 15 mwaka huu.



0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video