Saturday, August 13, 2016

Ligi kuu ya Soka ya England msimu wa 2016/2017 hatimaye inarejea jioni ya leo baada ya kuikosa kwa takribani miezi mitatu.
Mechi ya kwanza itaanza saa nane na nusu mchana kwa saa za Afrika Mashariki ambapo mabingwa watetezi, Leicester City watakuwa ugenini kuchuana na Hull City.
Mechi tano zitaanza majira ya saa 11:00 jioni, wakati mchezo wa mwisho utaanza saa moja na nusu usiku kati ya Manchester City na Sunderland.
Hapa chini ni ratiba ya mechi za leo kwa saa za Afrika Mashariki:

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video