Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya kandanda ya England (EPL), Leicester City leo wanatupa karata yao ya pili kwa kuwavaa Arsenal.
Leicester ilianza ligi mwishoni mwa Juma lililopita kwa kuchapwa 2-1 na wenyeji Hull City, wakati nao Arsenal walikula kipigo cha cha 4-3 dhidi ya Liverpool Uwanjani kwao Emirates.
Hapo chini ni Ratiba ya EPL leo:
0 comments:
Post a Comment