Baada ya taarifa kueleza kwamba, aliyemuumiza kiungo mshambuliaji wa Liverpool Sadio Mane mazoezini ni beki wa kushoto Alberto Moreno, washabiki wa klabu hiyo wamelipuka na kumtolea maneno mazito.
Moreno ambaye alilaumiwa kwa kiwango kisichoridhisha kwenye mchezo dhidi ya Arsenal, amedaiwa kumuumiza bega Mane wakati wachezaji hao wakifanya mazoezi kujiandaa na mchezo wa ligi mwishoni mwa wiki.
0 comments:
Post a Comment