Friday, August 12, 2016

Riyad Mahrez & Yaya Sanogo
Mashabiki wa Arsenal wakati huu wanatafuta dalili za kuonesha kama kiungo wa mabingwa wa England, Leicester City, Riyad Mahrez  anaweza kujiunga na timu yao majira haya ha joto, sasa wamepata kitu kipya kwenye mitandao ya kijamii kikimuhusisha Mualgeria huyo.
Kwasababu zisizojulikana, Mahrez amem-follow mshambuliaji wa Arsenal, Yaya Sanogo kwenye mtandao wa kijamii wa Twita.
Hii ina maana yoyote? Hapana, huwezi kujua, lakini baadhi ya mashabiki wameonekana kuguswa na hilo.
Mpaka sasa vyombo vya habari vya Ufaransa vinaeleza kwamba, Arsenal wanaitaka saini ya Mahrez.
Lakini Sky Sports wameshadai kuwa Arsenal bado hawajaweka ofa yoyote kwa Mahrez, japokuwa maelezo hayo ya chombo hicho cha Uingereza yanakinzana na Wafaransa.
Kwa mfano gazeti la L’Equipe, jana liliripoti kuwa wiki hii Arsenal walituma ofa ya Euro milioni 40.
Hapa chini nimekuwekea reactions za mashabiki wa Arsenal baada ya Mahrez kumfuata Yaya Sanogo kwenye mtandao wa Twita.



0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video