Wednesday, August 31, 2016

Mwili wa baba yake kipa namba moja wa Yanga Degratius Munishi 'Dida' ukiwa ndani ya jeneza huku viongozi wa dini wakifanya misa ya mwisho, ibada iliyofanyika katika kanisa la Chang'ombe kabla ya kuuaga mwili huo na kuelekea mjini Moshi tayari kwa mazishi ambayo yatafanyika kesho Alhamisi.
 Mwenyekiti wa Young Africans Yusufu Manji akisalimia na watu mbalimbali wakati alipofika kuuaga mwili wa baba yake kipa namba moja wa Yanga Degratius Munishi 'Dida' kabla ya kusafirishwa kuelekea mjini Moshi tayari kwa mazishi ambayo yatafanyika kesho Alhamisi.
 Baadhi ya ndugu jamaa, marafiki na wachezaji wenzake Dida wakijumuika pamoja kwenye msiba huo.




Picha kwa hisani ya Young African SC

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video