TANZIA: MCHEZA FILAMU MAHIRI AFARIKI DUNIA Mcheza filamu za vichekesho nchini Marekani, Gene Wilder amefariki dunia akiwa na miaka 83. Kwa Mujibu wa BBC SWAHILI, Wilder amekuwa akiugua ugonjwa wa kukosa fahamu{ Alzheimers}. Aliwahi kucheza filamu maarufu ya , ''Willy Wonka-The Chocolate Factory''.
0 comments:
Post a Comment