Monday, August 29, 2016

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Soko ya Hispania, La Liga, FC Barcelona jana usiku wamepata ushindi wake mwingine wakiwa ugenini dhidi ya timu ngumu ya Athletic Bilbao.

Hata hivyo, Barcelona ililazimika kufanya kazi ya ziada na kushinda kwa bao 1-0 lililofungwa na Ivan Raktic.


Haikuwa kazi rahisi kwa kuwa wenyeji Bilbao walionekana kuwa kwenye kiwango bora kabisa.

Barcelona ilianza La Liga kwa kishindo kwa kuichapa Real Betis kwa mabao 6-2 huku Luis Suarez akipiga hat trick.
Takwimu za mchezo zilionesha kuwa Barcelona walikuwa bora zaidi ya wenyeji wao 

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video