Tuesday, August 16, 2016

Mashindano ya Olimpiki ya Rio 2016 yanazidi kushika kasi mjini Rio de Janeiro, Brazil na mataifa mbalimbali yanaendelea kushinda medali.
Nchi iliyopeleka wanamichezo wengi zaidi (zaidi ya 500), Marekani bado ni kinara wa kuzoa medali mpaka sasa ambapo wamekusanya Jumla ya medali 75 ambazo ni 26 za Dahabu, 23 za Fedha na 26 za Shaba.
Uingereza inakamata nafasi ya pili kwa kushinda medali 16 za Dhahabu, 17 za Fedha na 8 za Shaba.
Kutoka Afrika, nchi ya Afrika kusini ipo 10 bora mpaka asubuhi hii kwa kushika nafasi ya 10 ikiwa imejikusanyia Jumla ya medali 14 zinazotokana na 6 za Dhahabu, 3 za Fedha na 5 za Shaba.
Angalia orodha ya 10 bora ya kutwaa medali mpaka asubuhi hii:

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video