Tuesday, August 30, 2016

Jumapili ni siku ambayo mlinda lango namba moja w Yanga Deogratius Munishi 'Dida' alimpoteza baba yake mzazi ambaye alikuwa amelazwa kutokana na kusumbuliwa na maradhi.
Msiba huo ulitokea wakati Dida akiwa langoni akiitumikia timu yake ya Yanga ilipokuwa ikicheza na African Lyon na kuibuka na ushindi wa mabao 3-0.
Kufuatia msiba huo wadau wa soka, wachezaji, washabiki na viongozi mbalimbali wa soka wamekuwa wakimimina salama zao za rambirambi kwa kipa huyo.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda aliyewahi kucheza Yanga na Simba Hamisi Kiiza 'Diego' amemwandikia ujumbe maalum wa kumpa pole na kumfariji Dida.
Kiiza ameandika hivi: "Najua hali sio nzuri mida hi kaka yangu ila nawomba mungu amulazi sehemu nzuri baba yako @deodida_30,pole sanaa mtu wangu na nashukuru mungu kunipa rafiki kama ww katika maisha yangu.Be strong Dida...I got u in my prayers."
Mwili utaagwa katika kanisa katoliki Temeke Mikoroshini kesho Jumatano kabla ya kusafirishwa kuelekea Moshi ambapo mazishi yatafanyika Alhamisi wiki hii 



0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video