SIMBA SPORTS CLUB
DAR ES SALAAM
29-8-2016
29-8-2016
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
klabu ya Simba ya Jijini Dar es salaam,inapenda kuwaalika Wanahabari kwenye mkutano wake utakaofanyika hapo kesho tarehe 30-8-2016 Saa Sita kamili mchana.
Mkutano 'MAKHUSUUS' kwa Waandishi utafanyika katika ukumbi wa mikutano wa Klabu ya Simba,uliopo Mtaa wa Msimbazi kariakoo jijini Dar.
Tunachosisitiza ni mkutano baina ya Klabu na Waandishi wa habari na sio vinginevyo.
Imetolewa na
HAJI S.MANARA
MKUU WA HABARI
SIMBA SC
HAJI S.MANARA
MKUU WA HABARI
SIMBA SC
SIMBA NGUVU MOJA
0 comments:
Post a Comment