Thursday, August 11, 2016

 Siku chache baada ya kuichapa 4-0 AFC Leopard katika mechi iliyochezwa siku ya 'Simba Day' (Agosti 8, 2016), klabu ya Simba Jumapili ya Juma hili Uwanja wa Taifa, Dar es salaam,  inatarajia kucheza mechi nyingine ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Timu ya Mamlaka ya Mapato ya Uganda , URA FC.
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa facebook, Katibu mkuu wa Simba, Patrick Kahemele ame-post ujumbe akiwaomba mashabiki wa Soka kujumuika pamoja kwenye mechi hiyo itakayotoa picha halisi ya Simba kabla ya kuanza ligi kuu Agosti 20 mwaka huu.


0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video