Mashindano ya Olimpiki ya Rio 2016 yanazidi kutimua vumbi mjini Rio de Janeiro nchini Brazil.
Mataifa mbalimbali yameendelea kushinda medali mbalimbali za Dhahabu, Fedha na Shaba.
Marekani wanaongoza mpaka sasa wakiwa wameshinda medali 11 za Dhahabu, 11 za Fedha na 10 za Shaba na jumla yake wamezoa medali 32, wakifuatiwa na China ambao wameshajikusanyia medali 10 za dhahabu, 5 za fedha na 8 za shaba ambazo jumla yake ni medali 23.
Angali 10 bora ya kutwaa medali katika olimpiki ya Rio.
0 comments:
Post a Comment