Monday, August 1, 2016

Timu ya Simba imeendela kufanya vizuri kwenye mechi zake za kirafiki mkoano Morogoro baada ya leo tena kuwatumbua wabishi Burkina Faso kwa mabao 5-0.
Nyota ya mshambulaji mahiri wa timu hiyo Ibrahim Ajib Migomba imezidi kung'ara kufuatia kutumbukiza wavuni mabao mawili, huku Mkongoman Moussa Ndusha, Shiza Kichuya na Said Ndemla wakipachika bao moja-moja kila mmoja.
Simba imekuwa na kambi yenye mafanikio mkoani humo kufuatia kushinda michezo yake yote iliyocheza.
Tayari wameshacheza na Polisi Moro na kushinda mabao 6-0 kabla ya kuitawanya Moro Kids 2-0.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video