Tuesday, August 9, 2016

West Ham  imemsajili nyota wa Swansea,  Andre Ayew  kwa makataba wa miaka mitatu ambao umegharimu paundi milioni 20.5.
Kufuati maombi ya kutaka kuwasajili Alexandre Lacazette, Michy Batshuayi na Carlos Bacca  kupigwa chini,  Slaven Bilic ameamua kumnasa  Ayew.
Straika huyo wa Ghana alitua West Ham akiwa mchezaji huru msimu uliopita, lakini alionesha kiwanho kikubwa akifunga mabao 12 katika mechi 34 alizocheza.
TAKWIMU ZA ANDRE AYEW MSIMU ULIOPITA


0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video