Sunday, August 14, 2016

MECHI ya kwanza ya Spanish Super Cup inachezwa leo kati ya wenyeji Sevilla dhidi ya Barcelona katika uwanja wa Estadio Ramón Sánchez Pizjuán (Sevilla).
Vikosi vinavyotarajia kuanza kwenye mechi hiyo itakapigwa saa tano kamili usiku kwa saa za Afrika Mashariki hivi hapa:
 

 Mechi ya marudiano itachezwa Agosti 18 mwaka huu kuanzia majira ya saa 6:00 usiku kwenye uwanja wa Camp Nou na mshindi wa Jumla ndiye atatawazwa kuwa bingwa wa mechi hiyo inayoashiria kufungua msimu mpya wa mashindano nchini Hispania.
Spanish Super Cup ni mechi ya kugombea ubingwa inayowakutanisha mabingwa wa ligi kuu ya soka ya Hispania, La Liga na bingwa wa kombe la Mfalme, Copa del Rey.
Endepo timu moja ilishinda makombe yote, La Liga na Copa del Rey kama walivyofanya Barcelona msimu uliopita, basi mshindi wa pili wa Copa del Rey atacheza dhidi ya bingwa wa La Liga.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video