Friday, August 19, 2016

Wakati wachezaji wenzake wa Manchester United wakiwa bize kujiandaa na mchezo wao ligi dhidi ya Southampton, kiungo asiye na nafasi kunako klabu hiyo Bastian Schweinsteiger ameonekana akijifariji na mchezo wa gofu.
Schweinsteiger amekuwa hana nafasi tena kwenye kikosi cha United, baada ya mapema kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa ligi kuambiwa na kocha wake Jose Mourinho, kwamba hana nafasi tena ya kucheza klabuni hapo hivyo anaweza kuondoka.
Msimu uliopita alikuwa moja ya wachezaji muhimu sana kwa United chini ya kocha Mdachi Louis van Gaal wakati aliposajiliwa kwa paundi mil 15 kutoka Bayern Munich. Bastian ameonekana Cheshire akijifariji na mchezo wa gofu.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video