Saturday, August 6, 2016

Paul Pogba amekuwa akitazama video mbalimbali za Manchester United wakati huu akikaribia kusajiliwa kwa dau la paundi milioni 100 akitokea Juventus ya Italia.
Kiungo huyo wa kimataifa wa Ufaransa anatarajia kurejea Old Trafford wiki ijayo, ikiwa imepita miaka minne tangu aondoke na usajili wake utakuwa umevunja rekodi ya dunia.
Taarifa za uhakika zinasema Pogba amekuwa akitumia muda mwingi kujaribu kuwajua wachezaji wa Man United ambapo anatazama zaidi video za mechi za msimu uliopita za Mashetani hao Wekundu akiwa na lengo la kuhakikisha akitua anaendana na kasi yao.
Pogba anataka kuwajua zaidi wachezaji wenzake.
Jose Mourinho will bolster his ranks with the sensational signing of the Juventus midfielder
United inatarajiwa kuwa 'Mnyama' mpya msimu huu baada ya Jose Mourinho kuchukua nafasi ya Louis van Gaal.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video