Sunday, August 21, 2016

Nyota ya mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayecheza kunako klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta imezidi kung'aa baada ya kuifungia timu yake mabao mawili katika ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Lokeren katika muendelezo wa michezo ya ligi kuu nchini humo.
Uwezo wa Samatta umezidi kujidhihirisha baada ya kufunga mabao hayo ndani ya dakika tano tu mnamo dakika ya 34 na 39. Mabao yote hayo mawili ya Samatta yalitokana na assists za Alejandro Pozuelo
Bao lingine la KRC Genk lilifungwa na Leon Bailey mnamo dakika ya 48.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video