Cristiano Ronaldo ameonekana akiwa na vitu kama plasta kwenye goti lake la kushoto wakati akiwa akifanya mazoezi na klabu yake ya Real Madrid akiendelea kujiimarisha baada ya kuumia kwenye fainali ya Michuano ya Euro.
Kuna uwezekano mkubwa nyota huyo akajumuika kwenye mchezo wa La Liga wakati timu yake itapocheza na Real Sociedad leo.
Cristiano Ronaldo, akiwa na plasta kubwa kwenye goti lake kushoto wakati akifanya mazoezi jana.
0 comments:
Post a Comment