Monday, August 1, 2016

Boss wa Leicester City Claudio Ranieri amewafurahisha wengi wakati akihojiwa na Sky Sports kuhusu tetesi za nyota wake Riyad Mahrez kuihama klabu hiyo.

Mara zote amekua akiongea bila kujiamini anapoulizwa kuhusu Mahrez kuondoka kwa mabingwa hao wa Premier League

Raia huyo wa Italy amekuwa akizungumza kama hakuna hakuna chochote kilichozungumzwa ndani ya Leicester juu uhamisho wa winger huyo, lakini safari hii akathibisha kuna mazungumzo kadha yameshafanyika.

Kuhusu Arsenal kutaka kumnasa Mahrez kutoka Leicester, Ranieri amekiri kwamba, yupo kwenye mazungumzo na kiungo huyo wa Algeria ili kumshawishi aendelee kusalia King Power.

Ranieri anasema, amemwambia Mahrez abaki Leister kwasababu ni muhimu kwa ajili ya maisha yake ya badae na anaamini Mahrez atasalia kwasababu anaulewa mkubwa juu ya hili.

Katika hili, inaonekana kama Mahrez anaweza kubaki, lakini wote tunajua lazima tumuone akiwa anasaini mkataba mpya mezani lakini chochote kinaweza kutokea hadi usiku wa August 31.

Angalia video Ranieri wakati anahojiwa na Sky Sport

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video