Thursday, August 11, 2016

Wekundu wa Msimbazi Simba kusisitiza kuwa wamemsajili mshambuliaji , Laudit Mavugo , timu yake aliyotoka ya Vital’O ya Burundi, imesema nyota huyo bado inammiliki.

Jina la Mavugo ni miongoni mwa majina yaliyotumwa na Vital'O katika Shirikisho la Soka la Burundi (BF) ikiwa ni sehemu ya wachezaji itakaowatumia msimu ujao.

Msemaji wa Simba, Haji Manara alikaririwa akisema, Mavugo hana tatizo lolote la usajili: “Ni mchezaji wa Simba na hakuna maelezo mengine zaidi.”
Lakini Rais wa Vital’O, Benjamin Bikorimana ameeleza kwamba, Mavugo hajamaliza mkataba na timu yake kama inavyoelezwa.

“Ni kitu cha kushangaza sana, Simba wanapoteza muda. ITC yake ipo kwetu, huyu ni mchezaji wetu na tuna mkataba naye, wanajisumbua,” alisema Bikorimana.
Hata hivyo, Benjamin amesema hawezi kusema hakuna tatizo juu ya Mavugo kucheza, anawasubiri viongozi wa Simba wafike Burundi kwa ajili ya kumalizina nao.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video