Monday, August 8, 2016

Mabingwa wa soka nchini Ufaransa Paris Saint-Germain wamekamilisha usajili wa mshambulizi wa Real Madrid Jese Rodriguez kwa mkataba wa miaka mitano.

Kocha wa PSG Unai Emery amethibitisha usajili huo baada ya kufikia makubaliano ya kitita cha euro mil 25.

Jese anakuwa mchezaji wa tano kusajiliwa na PSG, baada ya Hatem Ben Arfa, Grzegorz Krychowiak, Thomas Meunier na Giovani Lo Celso kusajiliwa hapo awali.

Akiwa Madrid msimu uliopita, Jese amefanikiwa kucheza michezo 38 na kufunga magoli 6 baada ya nafasi yake kuwa na ushindani mkubwa mbele ya nyota  Gareth Bale, Karim Benzema na Cristiano Ronaldo.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video