Saturday, August 13, 2016


Zlatan Ibrahimovic amemkaribisha mchezaji mwenziwe mpya Paul Pogba kwa staili ya aina yake kwa ku-post picha wakiwa wawili huku wakiangaliana kwenye akaunti yake ya Instagram.
Zlatan akaongeza na maelezo chini kwa kuandika:  'Finally my shirt brought him back.' akimaanisha 'hatimaye shati langu limemrudisha'
Kupitia Instagram Pogba alipost video yenye maneno ya utani yanayoashiria kwamba Msweden huyo anataka umaarufu kupitia Pogba.
Kwenye video hiyo Pogba amesema: 'Huyu jamaa anataka umaarufu.'
Ibrahimovic akajibu: 'Hapana mimi ndiyo nakufanya wewe uwe maarufu.'

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video