Tuesday, August 9, 2016

Hii ni kwa wale wote walioandika kwenye ukurasa wangu juu ya masuala ya uhamisho wangu, nimesoma yote mliyoandika na nawashukuru sana kwa ujumbe wenu uliojaa faraja kubwa. Naomba radhi kwa kuweza kuwajibu kwa wakati, nisingeweza kuongea jambo lolote. Uhamisho huu umechukua muda mrefu kwasababu ya ilitakiwa nichukue maamuzi muhimu na yenye tija. Nimefikiria sana na kulifanyia kazi suala hili kwa undani zaidi. Kitendo cha uhamisho huu kuchukua muda mrefu kilikuwa kikiniudhi hata mimi pamoja na ninyi pia.
Ni vigumu sana kuelezea kwa urefu na upana juu ya jambo hili kwenye maelezo haya mafupi, lakini maamuzi niliyofikia ni kwaajili ya matakwa ya nafsi yangu na si vinginevyo.
Juventus itabaki kuwa sehemu ya maisha yangu, mtabaki kwenye kumbukumbu ya maisha yangu na nitawapenda siku zote, nitawafurahia pia, timu na washabiki wake. Natumaini kwamba mtaheshimu uamuzi wangu. Moja ya vitu bora kabisa kwenye urafiki ni kuelewana.
Natoa heshima kubwa sana kwa klabu yangu ambayo imenilea kwa mafanikio. Asanteni sana.
Niliondoka Manchester nikiwa na miaka 18. Ulikuwa ni uamuzi ambao uliafikiwa na mimi pamoja na klabu na kilikuwa kitu sahihi kwa wakati huo. Sasa ni wakati wa kurejea na kusonga mbele zaidi, Old Trafford mpo!

Kiingereza
To all my fans who have written on my pages on the voices of my transfer, I read all and thank you for the messages enthusiasts. I'm sorry for not having replied earlier contractually, I couldn't talk.
This transfer it lasted so long because the result of an important decision, I've thought about and worked very hard. The wait was annoying for me as well as for you.
It's hard to explain so much in a few lines, but I made a decision guided by my heart and nothing else.
Juventus will always be a part of me, I will miss and always I'll love you, I will be grateful to the club, the team and especially to the fans. I hope you can respect my decision. The best part of friendship is to understand and be understood.
My deepest respect for the club who have tried to rope me. Gracias, merci!
Leaving Manchester when I was 18 years old. It was a decision which is shared between the club and me and the right thing to do in that moment. Now is the time to go back to go forward, Old Trafford here I come!

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video