Wednesday, August 10, 2016

MAKOCHA wa Yanga Hans Van Pluijm, Juma Mwambusi wakijadiliana na Kocha Mkuu wa Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa wakati wa mchezo baina ya Simba SC dhidi ya AFC Leopards katika siku ya maadhimisho ya Simba Day, mchezo uliofanyika Uwanja wa Taifa ambapo Simba waliibuka na ushindi wa mabao 4-0. Ikumbukwe tu Mkwasa alimewahi kufanya kazi kwa mafanio na Pluijm kabla ya kuteuliwa kuwa kocha wa Taifa Star na nafasi yake kuzibwa na Juma Mwambusi ambaye ndiyo kocha msaidizi mpaka sasa.
Pluijm na Mwambusi wana kibarua kigumu kwenye Kombe la Shirikisho, ambapo timu yao ya Yanga itakabiliana na MO Bejaia Agosti 13 kwenye Uwanja wa Taifa. MO Bejaia tayari wameshawasili jana na walifanya mazoezi yao ya kwanza kabisa katika uwanja wa Boko Veterani.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video