Nyota wa Real Madrid Cristiano Ronalda akila maraha na mrembo Cassandre Davis nchini Marekani. Ronaldo ana-enjoy mapumziko aliyopewa na timu yake ya Real Madrid baada ya kumalizika kwa Michuano ya Euro mwaka huu ambapo Ureno walichukua kombe hilo baada ya kuwafunga wenyeji Ufaransa bao 1-0.
Mapumziki hayo yanaenda bega kwa bega na kutibu goti lake aliloumia wakati wa mchezo wa fainali.
0 comments:
Post a Comment