Friday, August 19, 2016

Yanga leo katika uwanja wa Uhuru ( shamba la bibi ) wameendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo wa Jumatano Lubumbashi ( DRC ) dhidi ya TP Mazembe kombe la shirikisho .
Timu nzima ilikuwa mazoezini kasoro Juma Abdul na Obrey Chirwa ambao bado wanauguza majeraha yao waliyopata kwenye mechi dhidi ya MO Bejaia jumamosi iliyopita.
Timu itaondoka nchini siku ya jumapili kuelekea DRC tayari kwa mchezo huo .



0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video