Wednesday, August 10, 2016

 Kocha wa Yanga Hans van Der Pluijm akibadilishana mawazo na wachezaji wake baada ya hatua ya kwanza ya mazoezi yanayoendelea kwenye viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam. Yanga wanatarajiwa kucheza na MO Bejaia kutoka Algeria kwenye mchezo wa makundi wa Kombe la Shirikisho Afrika utakaofanyika Uwanja wa Taifa Agosti 13. MO Bejaia tayari wameshawasili
 Wachezaji wa Yanga wakiwa wamepumzika kutuliza koo baada ya mazoezi mazito.
 Kocha Hans van Der Pluijm akipata maji baada ya kazi nzito huku vijana wake wakiwa wamepumzika kidogo.
Simon Msuva (kushoto) na Juma Abdul wakitafakari jambo.
 Kutoka kushoto  Malimi Busungu na Andrew Vincent 'Dante' wakipata mapumziko mafupi.
 Pato Ngonyani (kushoto) na Deus Kaseke wakistua koo
 Haruna Niyonzima akionesha 'maufundi'
 Kelvin Yondan (kulia) na Simon Msuva wakizungumza jambo
 Thabani Kamusoko 
 Deogratius Munishi 'Dida' akipasha
Wachezaji wa Yanga wakicheza 'bwege kati'.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video