Beki kisiki wa Klabu Azam FC, Pascal Wawa, akiendelea na mazoezi mepesi ya gym na uwanjani baada ya kupata nafuu ya majeraha yake ya goti. Wawa hatakuwepo kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii leo kutokana na kukosa 'match fitness', hivyo mazoezi haya ni kwaajili ya kujiandaa na msimu mpya wa ligi.
Wednesday, August 17, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment