Baadhi ya viongozi na wanachama wa Simba wakishiriki kikamilifu zoezi la usafi kuelekea kilele cha maadhimisho ya Simba Day yatayofanyika Agosti 8 mwaka huu.
Katibu Mtendaji Mkuu wa Simba Patrick Kahemela akizungumza jambo.
Mbunge wa Ilala Mussa Hassan 'Zungu' na Makamu Mwenyekiti wa Simba Geofrey Nyange 'Kaburu' wakijumuika kwenye usafi.
0 comments:
Post a Comment