Beki wa Azam Shomari Kapombe akiingia kuchukua nafasi ya Kipre Balou katika mchezo dhidi ya JKT Ruvu ambapo timu hizo zilitoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1. Kapombe alicheza kwa mara ya kwanza tangu arejee kutoka kwenye matibabu baada ya kusumbuliwa kwa takriban miezi mitatu na matatizo ya mapafu.
Kapombe akimtoka mlinzi wa JKT Ruvu.
0 comments:
Post a Comment