Friday, August 19, 2016

Kiungo wa Manchester United asiye na nafasi klabuni hapo Bastian Schweinsteiger, jana ameonekana akijifariji na mchezo wa gofu.
Schweinsteiger amekuwa hana nafasi tena kwenye kikosi cha United, baada ya mapema kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa ligi kuambiwa na kocha wake Jose Mourinho, kwamba hana nafasi tena ya kucheza klabuni hapo hivyo anaweza kuondoka.
Bastian Schweinsteiger akiwa kwenye viwanja vya gofu huko Cheshire jana
Akijivinjari na mchezo huo

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video