Thursday, August 11, 2016

Cristiano Ronaldo amerudi mazoezini rasmi baada ya kumaliza mapumziko yake pamoja na kuuguza jeraha lake la mguu alilopata wakatai wa fainali ya Michuano ya Euro mwaka 2016 iliyomalizika nchini Ufaransa, ambapo timu yake ya Ureno ilifanikiwa kutwaa taji hilo.
Ronaldo muda mwingi wa mapumziko yake alikuwa Ibiza pamoja na familia yake.
Ronaldo amerudi mazoezi wkati timu yake ya Real Madrid ikitoka kuchukua kombe la Uefa Super Cup baada ya kuichapa Sevilla mabao 3-2, mchezo uliofanyika nchini Norway usiku wa kuamkia jana.
Cristiano Ronaldo akikaribishwa mazoezini na kocha wake Zinedine Zidane
Ronaldo na mchezaji mwenzake wa Ureno Pepe wamerudi jana mazoezini kwaajili ya kujiandaa na msimu mpya.
Wakiwa wamepozi kupiga picha
Ronaldo akipiga gym

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video