Tuesday, August 9, 2016

 Nahodha wa Yanga Nadir Haroub Ali 'Cannavaro' akizungumza kitu baada ya kumaliza mazoezi leo asubuhi kwenye viwanja vya Gymkhana, jijini Dar es Salaam.
Yanga wanajiandaa kwaajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya MO Bejaia utakaochezwa Agosti 13 Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Wachezaji wa Yanga wakisikiliza maelekezo kutoka kwa kocha wao wakati wakifanya mazoezi leo asubuhi kwenye viwanja vya Gymkhana, jijini Dar es Salaam.
 Wakipata maji ya kunywa.
Wakiendelea na mazoezi.
Picha: Naipenda Yanga.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video