Luis Suarez akipongezwa na wenziwe baada ya kufunga goli katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Leicester kwenye uwanja wa Stockholm
Munir akifunga goli la kwanza la Barcelona kwenye mchezo dhidi ya Leicester
Luis Suarez akiifungia Barcelona goli la pili
Munir akifunga goli lake la pili kwa Barcelona na la tatu la mchezo
0 comments:
Post a Comment