Wachezaji wa Barcelona wakiwemo Lionel Messi na Luis Suarez wakiwasili jijini Stockholm nchini Sweden kwaajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Leicester utakaofanyika kwenye uwanja wa Friends Arena. Mabeki wa Leicester watakuwa na kibarua kigumu kupambana na safu hatari ya ushambuliaji ya Barca inayoongozwa na Messi na Suarez
Home
»
KIMATAIFA
» PICHA- BARCELONA WAKIWASILI JIJINI STOCKHOLM TAYARI KUWAVAA LEICESTER MCHEZO WA KIRAFIKI
Wednesday, August 3, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment