Sunday, August 7, 2016

Kikosi cha Azam kilichoanza kwenye mchezo wa kirafiki jana dhidi ya Ruvu Shooting na kutoka sar ya bao 1-1 kwenye mchezo uliopigwa uwanja wa Mabatini, Mlandizi.
 Azam wakiingia uwanjani kwa staili ya aina yake.

Mudathir Yahya akijaribu kumtoka mchezaji wa Ruvu Shooting.
 Frank Domayo akitafuta njia ya kutoa pasi kwa mchezaji mwenziwe wa Azam.
 Shomari Kapombe akichanja mbuga.
Benchi la ufundi la Azam.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video