Monday, August 15, 2016

 Kipa wa Azam Mwadini Ally akionesha utaalamu wake wa kudaka wakati wakifanya mazoezi leo asubuhi kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi kujiandaa na mchezo wa mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga utakaochezwa Jumatano wiki hii.
 Wachezaji wa Azam wakijifua mazoezini leo asubuhi Chamazi kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga utakaochezwa Jumatano wiki hii.



Wakifanya mazoezi ya viungo

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video