Baadhi ya wachezaji wa Yanga wakiendelea na mazoezi kwaajili ya kijiweka fiti kuendelea na msimu mpya wa ligi ulionza hivi karibuni. Ligi Kuu Tanzania Bara kwa sasa imesimama kwa muda ili kupisha mechi za kimataifa. Yanga leo ilitakiwa kucheza mchezo wa kiporo wa ligi kuu dhidi ya JKT Ruvu lakini mchezo wao uliahirishwa kutokana na kuwa na idadi kubwa ya wachezaji ambao wamejiunga na timu zao za taifa. Yanga imetoa wachezaji 9 kwenda timu mbalimbali za taifa.
Wednesday, August 31, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment