Monday, August 1, 2016

Papa Francis amesema kwamba mchezaji bora mara tano duniani Lionel Messi ndiye bora kwa sasa ulimwenguni.
Mfungaji huyo wa muda wote wa Barcelona na Argentina, pia ameshawahi kutolewa comment na manguli wa soka duniani kama Pele na Diego Maradona, kwa kushindanishwa na mkali wa Real Madrid na Ureno ambaye pia ni hasimu wake mkubwa Cristiano Ronaldo.
Lakini Pope Francis – kiongozi mkubwa kabisa wa kanisa Katoliki ulimwenguni na mshabiki mkubwa wa San Lorenzo, ameweka wazi karata yake kwa Messi.
"Kwangu mimi [Lionel] Messi ni bora zaidi ya Maradona na Pele," Papa Francis alinukuliwa wakati akizungumza na vijana wa kike na kiume katika tamasha la Siku ya Vijana Duniani.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video